ZARI UTUPIA NENO LA DIAMOND INSTAGRAM! JANA
Mwanadada matata Zarina Hassan
'Zarithebosslady', ametupia neno la kumtakia kila kheri mpenzi wake
Diamond Platnumz katika shoo yake ya jana usiku. Takriban dakika 45
zilizopita, Zari ametupia kwenye akaunti yake ya Intagram maneno
yasemayo: Usiku huu nakutakia kila la kheri, nipo pamoja nawe kiroho...mahabbat hayo, lol!
Post a Comment