VIDEO: MAWAZIRI NA MANAIBU WAPYA WAAPISHWA
Mawaziri na Manaibu wapya wa Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiapishwa Ikulu jijini Dar es salaam muda mfupi baada ya kuteuliwa na Rais kufuatia kuondolewa kwa aliyekuwa Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka na kujiuzulu kwa Prof. Sospeter Muhongo, Jan 24, 2015.
KUONA PICHA ZA MAWAZIRI WOTE
ZIPO HAPA ===> BONYEZA HAPA
Post a Comment