Kwenye video anaonekana mpenzi wa zamani wa Drake ” Dollicia Bryan”.
Pia kwenye wimbo huu ndio unakuta mashairi kuhusu Drake yanayosema “Ni**a never was my homie, all these bitches know you corny.”
Album mpya ya Tyga The Gold Album: 18th Dynasty itatoka chini ya lebel yake mwaka 2015.
Post a Comment