TBC KUONESHA LIVE JK AKIONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA
Rais wa Jamhuri
wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu
ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma katika ukumbi wa Kilimani
mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo
hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa
www.ikulu.go.tz
IMETOLEWA NA
KITENGO CHA
MAWASILIANO YA RAIS IKULU,
MAWASILIANO YA RAIS IKULU,
NOVEMBA 4, 2014

Post a Comment