JOKATE ATAJA SABABU ZA KUWA KARIBU NA WANAUME
MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate
Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na
wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi.
“Watu wengi wanasema mimi malaya kwa sababu ya ukaribu wangu na wanaume lakini ukweli ni kwamba kampani yangu ya kike kubwa ipo nje ya nchi, sina jinsi,” alisema Jokate.
Mwanamitindo na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo.
Akizungumza
na mwanahabari wetu, Jokate alisema amekuwa akipata malalamiko kutoka
kwa watu wengi kuwa kampani yake kubwa ni wanaume hadi wengine kumuona
ni malaya wakati si kweli.“Watu wengi wanasema mimi malaya kwa sababu ya ukaribu wangu na wanaume lakini ukweli ni kwamba kampani yangu ya kike kubwa ipo nje ya nchi, sina jinsi,” alisema Jokate.
Post a Comment