ad

ad

BALOTELLI KAMA PAPAA, ATINGA MITAANI LIVERPOOL AKIWA NA SIMU TATU

Mara baada ya mechi ya watani dhidi ya Everton. Mshambuliaji nyota wa Liverpool, Mario Balotelli aliamua kuingia mitaani.

Alionekana katika jiji la Liverpool akiwa na simu tatu katika mikono yake miwili, utafikiri Papaa.
Mastaa wengi wa nje wamekuwa wakitumia simu moja tu tofauti na Bongo.
Lakini Balotelli aliokuwa tofauti na mambo yake kumbe ni kama Bongo tu.


No comments

Powered by Blogger.