Profesa Jay anajiandaa kuachia video ya wimbo wake ‘Kipi Sijasikia’ aliomshirikisha Diamond Platinumz. Leo msanii huyo mkongwe ameachia kionjo cha video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma wa Visual Lab. Kiangalie hapa:
Post a Comment