“Manka
haya ndiyo makosa mnayafanya sana wanawake wengi, kwa nini umuache aoge peke
yake. Nenda kaoge naye ikiwezekana anza kumliza kilio cha raha bafuni.”
Mmh,
mtoto wa kike haraka nilitelemsha nguo ya ndani na kubakia na upande wa kanga
nyepesi na kumuwahi Mateja kabla hajajipaka sabuni. Nilipokaribia bafuni Mateja
alikohoa kumaanisha kuna mtu.
“Mm..mm..mmh.”
Nilisukuma
mlango na kumkuta amejipaka sabuni usoni, alipofumbua macho aliniona nipo mbele
yake.
“Aah,
kumbe wewe?”
“Ulidhani
nani?”
“Nilifikiri
kuna mtu kaingia kwa bahati mbaya.”
“Nilikwenda
kutoa nguo ili tuje tuoge wote,” nilidanganya.
“Sasa
mbona hukuniambia kama tunaoga wote uliondoka kimya kimya.”
“Nilijua
nakuwahi.”
“Haya
tuoge.”
Nilimsogelea
na kuusugua mwili wangu kwake, joto langu lilimsisimua. Mmh, kuangalia kwenye
kikosi wa miziga,mtutu wa mziga ulikuwa juu. Manshala mtoto wa kike niliupandia
mtutu na kuufanyia ukaguzi kabla ya kuingia vitani. Mmh, weee acha tu hukuwepo
bali shetani wako alikuwepo.
Mateja
alikuwa kama mtu aliyekula mishikaki yenye chachandu ya Kihindi jinsi alivyotoa
miguno. Taratibu nilishughulika na mtutu wa mzinga ambao ulionekana ulikuwa
tayari kutupa makombora mazito kwa adui. Kutokana na utaalamu niliopewa na Bi
Shuu na kujua kuufanyia usafi mtutu wa mziga, mara nilimuona Mateja akitetemeka
na kutoa machozi laini.
“Vipi?”
“Aa..aah.”
“Pole.”
“Asante.”
Niliendelea
kumpa mshike mshike kwa kugusa hapa na pale, najua unataka kujua niligusa wapi.
Vuta subra tukikutana nitakueleza mwanaume anatakiwa aguswe wapi ili
kumuongezea mahanjamu. Ila lazima mikono yako iwe laini sio migumu kama mpasua
kokoto utamchubua mwenzio. Nilisahau kama tupo bafuni kwa kuendeleza mateso
bila chuki.
Nilimsikia
Mateja akisema.
“Manka
si tunarudi ndani tumalize kwanza kuoga.”
“Waaawooo,”
nilifurahia kimoyo moyo kwa kuamini mbwa mwenyewe kakimbilia kichaka cha nyani
asubiri vibao vya mashavu.
Tulimalizia
kuoga huku nikimsugua kila kona ya mwili kisha nilimfuta maji na kumfunga taulo
nami nilipitia upande wa kanga na kutoka naye kurudi chumbani. Wakati nakaribia
chumbani kwangu Bi Shuu alitokea nyuma ya bafu na kunifanyia ishara ya mdomo.
Niligeuka
na kusimama ili nimsikilize alikuwa na jambo gani.
“Manka,”
alisema huku akiachia tabadamu.
“Abee.”
“Hongera.”
“Ya
nini?”
“Unajua
kuifanya kazi umeiva kwelikweli mambo uliyofanya mimi mwenyewe hoi.”
“Asante
Bi Shuu.”
“Basi
usiniangushe yote tisa kumi huko mnakokwenda ukifanya makosa umetia nazi kwenye
supu.”
“Bi
Shuu wee acha nina usongo naye ile mbaya”
“Usikamie
sana ukashindwa kuyanywa.”
“Nimekuelewa.”
Niliagana
na Bi Shuu na kuelekea chumbani kwangu na maswali mengi juu ya tabia ya Bi Shuu kunipiga chapo kila
nililokuwa nafanya. Mmh, niligeuka nielekee chumbani Bi Shuu tena aliniita.
“Manka
usizime taa pia dirisha lako la nyuma liache wazi”
Niliingia
ndani nikijiuliza mengi juu ya tabia za Bi Shuu Kunipiga chabo, nilijua mwanzo
alitaka kujua uwezo wangu lakini baada ya kuona nimeweza hakukuwa na haja ya
kunipiga tena chabo zaidi ya kusubiri matokeo. Lakini kwa upande mwingine
niliamini ile ndiyo ilikuwa fainali yangu ya kujua nimefundika au nilibahatisha
kwa wachovu.
Pamoja
na kutaka kujua nipo katika kiwango gani, wasiwasi wangu mkubwa ulikuwa
kutojiamini kwa asilimia zote kutokana na kujua kuna mtu ananiangalia. Bora
angenivizia nisingejua kinachoendelea na mimi kufanya makamuzi ya nguvu.
Ndani
nilimkuta Mateja amekaa kitandani, mtoto wa kike kwa usongo niliokuwa nao
niliivuta kanga aliyokuwa amejifunga na kubakia kama kuku anayesubiri kuingizwa
kwenye mafuta. Nami yangu nikaitupa pembeni na kubakia sale sale maua si unajua
asiyejua kuchagua kabila lake Mzigua. Jamani maneno mengine sijui ni kweli au
wimbo ina maana Wazigua ndiyo wasiojua kuchagua?
Tuachane
na hayo wanajua waliosema si mimi, baada ya kuwa sale sale kama kuku
wanaosubiri kuingizwa kwenye kalai la mafuta ya moto. Kupitia mafunzo ya Bi
Shuu mwanamke kabla ya kusafiri katika bahari ya huba unatakiwa kukiandaa
chombo. Sehemu hii naomba twende pamoja huonekana wanawake wengi tunakosea.
Kosa
kubwa kwa wanawake wengi wakiishafika kitandani husubiri kuandaliwa wao kisha
wapande kwenye chombo kuanza safari ya huba wakati mwenzake naye alihitaji
kusisimliwa kama yeye. Au wengine ambao huwa kama mimi Manka kabla ya kuingia
unyagoni kwa Bi Shuu kujua kabla ya safari vitu gani vinatakiwa kufanywa.
Wengi
wetu hutangulia kitandani na kutega kama kicheche anavyotega kuku, akiingiza
kichwa tu anatimua naye mbio kichakani. Lazima sehemu hii uitumie kuandaana
kila mmoja tui likikolea nazi ruksa kutia mchele, tuko pamoja nataka
nilichokipata kwa Bi Shuu nawe upande japo kiduchu.
Basi
mtoto wa kike nilikiwa nimepandwa na maruhani ya mapenzi nilikuwa kama chatu aliyeshiba na kujivuta
kushida huku pumzi zikinitoka kwa shida. Nilitambaza mikono yangu laini toka
kona moja kwenda nyingine hasa sehemu muhimu zenye kupandisha mahanjamu.
Nilianza
kumsikia Mateja akisisimka na kuninyonga taratibu kama nyoka anavyopata shida
ya kutambaa kwenye sakafu. Nilizipapasa sehemu ambazo humfanya mwanaume
asisimke na kumpandisha mzuka wa mapenzi. Kila nilipogusa sehemu nilimuona
akitaka kunyanyuka kama samaki pomboo anavyojitupa kwenye maji kwa madoido.
Baada
ya safari ndefu nilifika mji mkuu na kufanya kituo cha muda mrefu kwa kutumia
mikono mdomo na ulimi ambao ulimfanya Mateja agugumie kama dume la njiwa lenye wivu. Niliendelea
kuwajibika mpaka alipolia bila msiba huku akiomba tuingie chomboni kuianza
safari ya huba yenye utamu usiisha hamu hasa kwa wanaoufahamu shati uwe
mtaalamu wa kuitumia yako kalamu ndipo
utaipata tamu na kukufanya mahamumu kila uikumbukapo tamu lazima upitate hamu
ya kuutafuta utamu.
Sijui
tupo pamoja au nimekuchanganya, mwa kwetu siku zote chakula maandalizi, na
chakula kitamu kinahitaji maandalizi ya kina na katika mwili vile vile. Huwezi
kudandiwa kama baskeri na kupigwa pedeli, wakati unachemka mwenzio kesha fika
zamani kalala pembeni hoi kuendelea na safari hawezi wakati mwenzake waduduuu wadogowadoooo ndo
wamecharuka Wananyemvuanyemvua.
Hapa
pia kuna somo nililopata kwa Bi Shuu usikubali kuianza safari hakikisha
mwakwetu kwako nawe kumetiwa mchuzi wa kutosha sio kula mkavu utakukwama kooni.
Nina imani tupo pamoja au nimekuacha njia panda, mwakwetu hakikisha mpenzi wako
amekuandaa mpaka hatua ya mchuzi kukolea kwenye ubwabwa hapo ruksa chakula
kiliwe. Lazima wote mtakifurahia sio kuwahi kitandani kusubiri hukumu bila
kujitetea.
Baada
ya Mateja mchicha kukolea nazi shetani wa ngono kumpanda alitaka kuchupa mchupo
wa mkizi, lakini mtoto wa kike nilimshika kifuani na kumueleza.
“Mpenzi
pangu pakavu tia mchuzi,” nilikuwa na maana bado hajaniandaa ili tufurahia
safari kwa pamoja. Mateja alinielewa ndipo alipoanda kuniandaa kwa kufanya
ziara ya mkono na ulimi mwilini kwangu, jamani chakula kitamu kikipata
muandalizi asiye na papara. Nakiri sikuwahi kukutana na raha za mwili siku zote
niliamini raha zipo chini tu kumbe mwenyezi Mungu aliumba kila kiungo mwilini
na makusudio yake.
Kila
nilipoguswa nilihisi raha tofauti na aliponigusa kwanza, mtoto wa kike
nilimaliza maneno yote mdomoni kuomba hukumu baada ya kulia zaidi ya mara mbili
bila huruma ya Mateja kuendelea kunipa mateso bila chuki. Baada ya tui kukolea
nazi, kile nilichotaka kukionesha kwa Mateja kilitimia.
Mtoto
wa kike tuliingia kilingeni kujua mbivu na mbichi, najua unahamu kujua
kilichoendelea, samahani tukutane wiki ijayo.
Mtoto
wa kike nilipoguswa tu nililegea mwili ulikuwa kama umepigwa shoti ya umeme,
mchezo upoanza tu nilijiachia huku nikizitoa pumzi kwa kufuata mdundo, japo
nyonga haikuwa laini sana kama wamakonde nami taratibu nilinyambulika
kuhakikisha sitoki nje ya biti. Hakukuwa
na ushindani kila mtu alitaka kuonesha uwezo wake kwenye medani ya mapenzi.
Kila
dakika ilivyokwenda ndivyo kila mtu alipoteza ustaarabu na kutaka kuonekana
anaweza kuliko mwenzake. Kila dakika iliyokwenda ilikuwa ni maajabu saba ya
dunia kwa Mateja. Nina imani kabisa mwanzo aliona kama nabahatisha kutokana na
kunizoe Manka wa kulala kama gogo Manka mbishi nisiyekubali usumbufu wa
kugeuzwa kama chapati.
Manka
nilimpania Mateja bila kujua wito ule ulikuwa na sababu, kila alivyotaka
nilifanya bila hiyana kila aliponituma nilikwenda bila kubisha kila
alivyoniweka nilikaa bila tatizo. Muda wote niliwajibika bila kuchoka huku
nikimmwagia sifa ambazo nina imani hakuwa kupewa toka azaliwe.
Kuna
kipindi mtoto wa kike nilalamika kama mtoto aliyeny’ang’anywa ziwa na mama
yake, kutokana na kuufurahia mchezo nilijikuta nikilia kama naonewa kumbe raha
zilikuwa zimekonga kila kona ya mwili.
“Mateja
kwa nini unanitesa...kosa langu nini?” Nililalama huku nikiwajibika.
Siku
zote raha ya kurap uendane na mdindo, nilibadilika mtoto wa kike na kuongeza
nijuavyo nisivyofunzwa na Bi Shuu. Jamani makubwa ukishangaa ya Musa utayaona
ya firauni. Ghafla Mateja machozi yakaanza kumtoka baada ya kuvamia shamba la
mihogo kwa mikono na mdomo jembe nililitoa kwenye mpini na kuchimba muhogo kwa
mkono.
Kila
nilivyoutafuta muhongo nilimuona mtoto wa kiume akihama upande mmoja kwenda
mwingine. Mmh, sikuamini nilimuonea huruma lakini siku zote ukitaka kumtiba
mgonjwa wa jipu usimuonee huruma. Mateja uzalendo uliomshinda aliamua kusema.
“Manka
kwa nini ulinitenda?”
“Kivipi
mpenzi?”
“Vitu
hivi mbona hukunipa mwanzo?”
“Mpenzi
vilikuwa havijaungwa, hata vya chukuchuku havikuiva.”
“Hapana...hapana...sikubali.”
“Hukubali
nini tena mpenzi?”
“Siwezi
kula nisishibe heri nisipewe.”
“Mateja
leo utakula mpaka utasaza nipo kwa ajili yako.”
“Na
baada ya leo?”
“Mi
nipo tu.”
TUENDELEE SIKU YA KESHOOOOOOOO
Post a Comment