“Hata
sijui.”
“Mmh,
yule bibi na umri wake yuko vile wakati wa usichana wake alikuwaje?”
“Mmh,
sijui.”
“Basi
mwambie nitamtembelea wikiendi.”
Jamani
kauli ya Mateja ilinipa matumaini labda atarudisha moyo wake, siku zote
nilimuamini Bi Shuu kwa maneno yake matamu yaliyojaa misemo nahau na methani
ili kumlainisha mtu.
“Jamani
bosi kwa nini usiende leo?”
“Manka
nipo bize sana atanisamehe, lakini mwambie sijamdharau nitaitikia wito wake.”
Songa nayo
Baada
ya kusema vile aliingiza mkono mfukoni na kutoa pochi alihesabu noti tatu za
kumi kumi na kunipa.
“Mpelekee
hizi mwambie nitakuja.”
Nilizipokea
na kufunga kazi zangu, pamoja na penzi letu kufa bado nilipelekwa na kurudishwa
nyumbani na gari. Nilipofika nyumbani nilikwenda chumbani kwangu, kabla ya
kufanya kitu chochote nilivua nguo zangu na kubakia mtupu kama nilivyozaliwa
mbele ya kioo kikubwa na kujitazama upya kasoro katika mwili wangu.
Nilituliza
macho na kuyazungusha taratibu mwilini mwangu kuangalia nina kasoro gani
inayonifanya kila kukicha nipoteze wanaume. Kila hatua niliyokuwa nikipiga
katika kusafirisha macho yangu nilijigundua nina sifa kubwa sana ya kuitwa
mwanamke mrembo tena mwenye kumtia hamu ya mapenzi mwanaume rijali.
Umbile
langu kwa mimi mwenyewe kama ningekuwa mwanaume na kukutana na mwanamke mwenye
umbile kama langu ningemganda kama ruba, lakini kwangu ilikuwa na tofauti kubwa
sana. Baada ya kujigundua sina kasoro mwilini nilijikuta nikilia huku nikisema
kwa sauti ya chini.
“Hali
hii mpaka lini?”
”Hali ipi?” Sauti ya Bi Shuu iliuliza nyuma yangu ilionesha Bi Shuu alikuwa
ameingia kitambo bila mwenyewe kujua. Niligeuka na kwenda kujitupa kifuani
kwake huku nikilia kwa uchungu.
“Vipi
tena mwali?”
“Bi
Shuu huu mkosi.”
“Wa
nini?”
“Na
Mateja kanimwaga.”
“Kwa
nini unasema hivyo?” Nilimweleza yaliyotokea ofisini huku nikilia.
“Ulimwambia
namwita?”
“Amesema
atakuja wikiend.”
“Basi
kazi hiyo niachie mimi.”
“Siamini
kama atakusikiliza.”
“Ngoja
aje, nitajua mbichi na mbivu.”
“Mmh,
sina matumaini.”
“Hebu
kaoge nikupe michapo.”
Nilikwenda
kuoga ili nipate michapo ya Bi Shuu ambaye alinihakikishia kunipigania mpaka
mwisho.
Nini
kitaendelea? Tukutane wiki ijayo.
Mwisho
wa wiki Mateja alikuja kuonana na Bi Shuu, alipofika waliingia kwa Bi Shuu.
Nilikuwa na hamu ya kusikia alitaka kumuuliza nini juu yangu, nilijitahi
kusikiliza dirisha la sebuleni la Bi Shuu lakini sauti walizokuwa wakizungumza
zilikuwa za chini sikuweza kusikiliza waliyokuwa wakizungumza japo kuna muda
nilisikia Mateja akisema.
“Ilikuwa
vigumu kuja kuyasema haya kwako, kwa vile mpaka anafikia umri alionao niliamini
ni vigumu kubadilika.”
“Mmh
kama ni hivyo nina kazi nzito, naomba unipe muda vinaonesha chukuchuku
havijaungwa.”
“Hapana
Bi Shuu nakuheshimu sana, lakini tumechelewa ungeniita mapema tungeweza
kulipatia ufumbuzi. Sasa hivi nipo katika mipango ya harusi na kila kitu kipo
katika hatua za mwisho,” kauli ile ilinikata maini.
“Mmh,
sawa nimekuelewa.”
“Basi
bibie wacha nikuache tutaonana,” nilimsikia Mateja akiaga ili aondoke.
“Lakini
naomba usimfukuze kazi mjukuu wangu.”
“Bi
Shuu suala la kazi haliingiliani na mapenzi, sitamgusa katika kazi hilo
usihofu.”
“Kama
ni hivyo nashukuru, lakini Manka kapoteza dume la haja.”
“Kila
kitu mipango ya Mungu.”
Nilimshuhudia
Mateja akihesabu nyekundu tano na kumpatia Bi Shuu ambaye alishukuru nusra
amlambe viguu Mateja kwa pesa aliyompa.
“Asante
bwana yangu,” Bi Shuu alishukuru.
“Kawaida
Bi Shuu ukiwa na shida mtume Manka usiogope.”
Mateja
aliaga ili aondoke, nilitoka haraka dirishani kwa Bi Shuu na kukimbilia
chumbani haraka. Nilijikuta nikiangua kilio kutokana na niliyoyasikia nusu kwa
Bi Shuu, niliamini nilikuwa nimechelewa kuyasikia ya mwanzo kuhusu tatizo
langu.
Niliamini
kosa lilikuwa langu nilitakiwa nimueleze mapema Bi Shuu kuhusiana na mabadiliko
ya Mateja. Kwa kauli ya Mateja kama ningewahi ningeweza kulikoa penzi langu.
Nikiwa nimejiinamia kitandani nilikia nilishtushwa na mlango kugongwa.
Nilijua
ni Bi Shuu ambaye hakutakiwa kugonga, lakini sikutaka kumlazimisha nilipaza
sauti yangu ya kilio.
“Ingia
mlango upo wazi.”
Mlango
ulifunguliwa macho yangu yalimshuhudia Mteja akiingia ndani mwangu baada ya
miezi sita toka alipokata mawasiliano na mimi. Alikuwa wa kwanza kuniuliza
baada ya kukutana na michirizi ya machozi kwenye mashavu yangu.
“Vipi
Manka unaumwa?”
“Ndiyo,”
nilidanganya kwa vile sikuwa na cha kumwambia.
“Nini
tena?”
“Kichwa.”
“Ooh,
pole sana, umemeza dawa?”
“Bado.”
“Basi
nyanyuka nikupeleke hospital.”
“Kitapoa
tu.”
“Basi
kama utazidiwa utakwenda hospitali.”
Mateja
alisema huku akinisogelea mkononi alikuwa ameshikilia pochi na kunikabidhi elfu hamsini huku
akisema.
“Kama
utazidiwa zitakusaidia kwenda hospital.”
Nilitaka
kuzikataa zile pesa kwa vile shida yangu haikuwa pesa bali yeye mwenyewe.
Nilitaka kumuuliza tatizo langu nini lakini niliamini nilikuwa nimechelewa
nilitakiwa kuuliza mapema na si muda ule ambao alinionesha mpenzi wake mbele ya
macho yangu.
Nilipokea
zile pesa Mateja aligeuka na kuondoka akiniacha nilikilia kilio cha kwikwi,
baada ya kuondoka Bi Shuu aliingia na kunisimamia kama jini la kutumwa mkono
kiunoni.
“Manka
kwenu hakuna unyago?” Lilikuwa swali la kwanza bila kujali kilio changu.
“Unyago!
Ndio nini?”
“Mafunzo
ya msichana kujitambua na jinsi ya kumridhisha mwanaume kitabia na kimapenzi?”
“Sikuwahi
kuyasikia.”
“Mmh,
ndiyo maana.”
“Una
maana gani kusema hivyo?”
“Umepoteza
wapenzi kwa kutojua mwanamke anatakiwa kumridhisha vipi mwanaume.”
“Kwani
kuna kitu gani amekueleza Mateja?”
“Tutazungumza
na kulifanyia kazi.”
Baada
ya kusema vile alitoka na kuniacha na mawazo kibao juu ya maswali yake na kitu
alichoambiwa na Mateja. Nilijiuliza kutopata mafunzo ya usichana yanahusiana
vipi na kukataliwa na wanaume. Nilijikuta nikijizoazoa hadi kwa Bi Shuu kutaka
kujua Mateja kamwambia nini.
Nilipofika
nilimkuta akizurudia kuzihesabu pesa alizopewa na Mateja, aliponiona aliziweka
pembeni na kunitupia macho.
“Mmh,
mwali una jipya gani?”
“Bi
Shuu naomba unieleze ulichopelezwa na Mateja juu yangu?”
“Nitakueleza
kwa vitendo si la maneno.”
“Matendo!
Una maana gani?”
“Nimepata
sababu ya wewe kukorofishana na wanaume, inaonesha wazi hukupitia mafunzo ya
usichana. Nina kazi na wewe, mi ndo Bi Shuu bwana kila mwali aliyepitia
mikononi mwangu kila aliyeonja hakutema. Najua wanakutema kwa vile unawalisha
vya chukuchuku.”
“Vya
chukuchuku! Una maana gani?”
“Utajua
baada ya kuviunga kisha uwaonjeshe kama hukuolewa narudi kijijini kwetu japo
toka nitoke kwetu kumebakia magofu. Lakini nakuhakikishia nakutia mikononi
mwangu halafu nisikie, eti bwana bwana
kaniacha,” Bi Shuu alishikilia pua na kusemea puani.
“Nakwambia
najua kuviunga vya chunguni mpaka vya mwilini, wala hujachelewa sasa hivi mtu
akigusa amenasa.”
“Utafanyaje?”
“Nataka
uombe likizo ya mwezi mmoja tena nitakuombea mimi kwa Mateja ili niviunge viwe
vitamu.”
“Vitamu!
Vipi hivyo?”
“Nataka
ukiguswa usisimke, ujue mwiko upo katika chungu au upo juu ya mfuniko, kumpa
mwanaume mpaka asuse. Usilale kama gogo uoneshe basi upo safarini na si kukapua macho kama kibaka
akimvizia mtu.”
“Mmh,
mbona umeniacha njia panda.”
“Leo
nataka kumbadili Mchaga awe kama Mmakonde.”
Mmh,
kila alilozungumza kwangu lilikuwa geni, nilisubiri niungwe ili niwe mtamu kwa
mwanaume.
Niliendelea
na kazi yangu huku moyo ukiniuma kulipoteza penzi la Mateja, na mpenzi wake
kutaka sifa kila muda wa chakula cha mchana lazima ampitie na wakitoka
walikumbatiana na kuzidi kuniumiza. Lakini sikuwa na jinsi zaidi ya kukubali
matokeo.
Wiki moja baadaye Bi Shuu alinituma nimwite
Mateja, kama kawaida nilimfikishia ujumbe wake, naye hakuwa na hiyana alikubali
wito. Ilikuwa ajabu katikati ya wiki Mateja kukubali kwenda kumsikiliza Bi
Shuu, tena aliniomba nikitoka kazini niongozane nae.
Baada
ya muda wa kazi niliongozana na Mateja hadi nyumbani, tulipofika aliingia kwa
Bi Shuu na kuniacha nikiingia chumbani kwangu. Nilijikuta nikijawa na mawazo
juu ya wito ule Bi Shuu alikuwa na kitu gani ambacho alichomuitia Mateja.
Niliamini
kabisa kama kutaka kumrudisha kwangu itakuwa ngumu kutokana na kila kitu
kujionesha juu ya Mateja na mpenzi wake mpya. Nilipofika ndani hata hamu ya
kuvua nguo iliniisha na kujikuta nikitoka na kujipitisha jirishani ili nisikie
alichoitiwa na Bi Shuu.
Lakini
sauti ya Bi Shuu ilinishtua kwa kuniita, moyo ulinishtuka kutaka kujua naitiwa
nini? Niliingia sebuleni na kumkuta
Mateja amekaa kwenye kochi akiwa ametulia. Bi Shuu aliponiona
aliniambia.
“Manka
kwenye friji yako kuna soda?”
“Mmh,
jana nilimalizia nilikuwa na mpango wa kuweka leo.”
“Basi
nifuatie dukani.”
“Bi
Shuu si lazima achana nayo,” Mateja aliingilia kati.
“Hapana
babu lazima unywe soda.”
Siku
zote Mateja hakuwa na makuu alimkubalia Bi Shuu, baada ya kupewa pesa nilipitia
chupa na kwenda dukani haraka ili niwahi mazungumzo yao.
Nilipofika
dukani nusra nipasuke kwa hasira baada ya kukuta wateja wengi kwenye duka la
Mpemba. Sikutaka kusubiri nilikimbilia kwenye grosary iliyokuwa mbali kidogo.
Nilinunua soda haraka haraka na kurudi hadi karibu na nyumba na kuanza kunyata
hadi dirishani ili nisikilize wanazungumza nini.
Nilipofika
dirishani nilimsikia Mateja akisema.
“Hakuna
tatizo Bi Shuu kila kitu kitakwenda kama unavyotaka.”
“Kama
hivyo nitashukuru.”
Baada
ya mazungumzo yale palipita ukimya mfupi huku sauti za nyayo zikielekea
mlangoni, nilichepua mwendo hadi mlangoni na kukutana uso kwa uso na Bi Shuu.
“Vipi mwali mbona umechelewa?”
“Dukani
kwa Mpemba kumejaa watu ilibidi nisogee mbele kwenye grosary.”
Bi
Shuu aliipokea soda na kuingia nayo ndani, nilibakia mlangoni nikijiuliza
niingie au niende chumbani kwangu. Kupata jibu la nifanye nini lilinifanya
nisimame kwa muda pembeni ya mlango. Kabla sijapata jibu nilishtushwa na sauti
ya Mateja.
“Manka
kumbe upo hapa?”
“Ndi..ndi..yo,”
maskini nilipata kugugumizi cha ghafla.
“Wacha
niondoke zangu.”
“Haya,
karibu,” nilijibu kwa aibu huku nikiangalia chini.
Mateja
kweli alinichoka bila kuongeza neno alinitipa na kuelekea kwenye gari lake, Bi
Shuu alimsindikiza mpaka kwenye gari. Nilibakia nikimsindikiza kwa macho.
Baada
ya Mateja kuondoka Bi Shuu alirejea, alipofika alinishangaa kunikuta
nimetawaliwa na simanzi usoni mwangu.
“Vipi
mwali?”
“Aah,
kawaida tu.”
“Acha
kujitia ukiwa, kila kitu kina wakati wake na wakati ndio unakuja.”
“Kwani
Mateja kasemaje?”
“Aseme
nini?”
“Kwa
hiyo amekubali?”
“Akubali
nini?”
“Kwani
ulimuitia nini?”
“Kuhusu
likizo yako.”
“Kasemaje?”
“Amekubali.”
“Naanza
lini?”
“Sijajua
lakini amekubali.”
“Mmh,
haya.”
Niliachana
na Bi Shuu na kwenda chumbani kwangu kujiandaa na kujimwagia maji ili
nipumzike.
*********
Siku
ya pili nikiwa ofisini niliitwa na Mateja kunitaarifu kukubaliwa likizo yangu
ambayo ingeanza wiki itakayofuata kwa kukamilisha kazi zangu zote muhimu.
Nilipewa pesa ya likizo na kujiandaa kwenda kwenye unyago wa kiutu uzima ili
niugwe niwe mtamu mwanaume akigusa anate.
Baada
ya kumalizia kazi za ofisi kwa wiki niliyopewa, niliruhusiwa kurudi nyumbani
kuanza likizo. Nilirudi nyumbani na kumkuta Bi Shuu ambaye kabla ya kuweka
makalio chini aliniuliza.
“Mmh,
umepewa likizo?”
“Nimepewa.”
“Basi
kazi yote niachie mimi.”
Siku
ile nilipumzika bila kugusiwa kitu chochote, lakini alfajiri niliamshwa na
kupelekwa kuogeshwa maji baridi kisha nilifungwa upande wa kanga bila nguo
ingine ndani. Aliniongoza hadi katika chumba kimoja cha ndani kilichokuwa
kitupu.
Chini
kwenye sakafu kulikuwa na maji kuonesha amemwagwa, baada ya kuingizwa mule
ndani wakati huo kibaridi kilikuwa kikinichanyata. Bi Shuu alifunga mlango kwa
nje na kuniacha nimesimama nikijiuliza ameleta mule ndani nifanye nini? Ajabu
muda ulikatika nikiwa nimesimama, miguu ilichoka na kujiuliza mbona harudi
ameniweka mule ndani ili iwe nini.
Kukaa
chini nilishindwa kutokana chini kuwa na maji na muda ule ubaridi kilikuwa
kikali sana. Niliposhika mlango ulikuwa umefungwa kwa nje nilijaribu kuita
kwani nilikuwa nimechoka kusimama zaidi ya saa moja. Hakukuwa na jibu la mtu
yoyote.
Nilijawa
na mawazo juu ya kuwekwa chenye chumba chenye maji kisha kusimamishwa kwa muda
mrefu. Nilijiuliza unyago wenyewe kama ndio ule
kwangu niliamini nitashindwa. Niliamua kukaa kwenye maji huku kibaridi
kikizidi kunichonyota, kutokana na uchovu nilijiegemeza kwenye ukuta na
usingizi ulinipitia.
Nilishtushwa
na maji ya baridi niliyomwagiwa ndoo nzima, Bi Shuu alikuwa mbele yangu akiwa
amekunja uso kwa hasira na kunifokea kwa sauti ya juu.
“Haya
ndiyo yanakufanya ukose wanaume kila kukicha, mwanamke mvivu kama nini,
kukuacha muda mfupi umeshindwa kuvumilia na kuuchapa usingizi kwenye maji.”
“Samahani
Bi Shuu.”
“Haya
fanya usafi haraka,” alisema huku akinitupia tambara kukausha maji.
Nilichukua
tambara na kuanza kufanya usafi kwa kukamilia maji kwenye ndoo mpaka
nilipokausha, Bi Shuu alirudi na mkeka ambao aliutandika kisha alitoka na
kurudi na chai. Tulikunywa chai kisha aliniacha nipumzike kwa kuniacha na
kipande cha kanga tu.
Jioni
ilipofika Bi Shuu aliingia ndani na kuniketisha kitako na kuanza kuniuliza
maswali.
“Manka
kitu gani wakati wa mapenzi hukipendi?”
“Mmh,
vingi lakini tabia ya wanaume kunisumbua wakati wa kilimo huna sikupendi.”
“Mmh,
kingine?”
“Ni
hilo hilo tu.”
“Nimekuelewa,
kuna vitu vingi vya kike vimekupita kushoto,
siku hizi wanaume hawapendi mwanamke anayelala kama gogo, husisimki wala
hutingishiki.”
“Bi
Shuu nitikisike vipi au nisisimke vipi?”
“Ndiyo
maana leo umo humu ndani, ukitoka utajua unasisimka vipi na unatikisika vipi?”
“Mmh,
haya.”
Mmh,
hukuwepo ila malaika wako alikuwepo, sikujua alichonipa Bi Shuu kilikuwa adhabu
au mateso. Niliwekwa mikao ambayo haikuwa tofauti na ile niliyokuwa
nikiwakatalia wanaume, kila nilipotegea nilitandikwa bakora ya mgongo iliyotua
sawia kwenye mgongo mtupu.
Kila
siku nilikuwa nikifanyishwa mazoezi yagumu ya viungo ambayo yalikuwa mateso
mazito, kuna kipindi nilifikiria kumwambia bora aniache nilivyo kuliko mateso
yale. Lakini Bi Shuu alikuwa mkali kama pilipili hakutaka mchezo hata kidogo
hata nilipochoka bado alinilazimisha huku akisema.
“Kushinda
kuchoka ndiyo siri ya kumkata kiu mwanaume.”
Nilibebeshwa
mzigo kichwani nikiwa mtupu na kuanza kuchomwa na sindano kiunoni kitu
kilichinifanya nishtuke kwa kuchezesha kiuno. Haikuishia hapo nililazwa chini
na kubebesha mzigo kiunoni na kuendelea kuchomwa na kitu cha ncha ambacho
kilinifanya nijinyonge nyonge bila kupenda.
Niliendelea
na mazoezi makali chini ya kungwi wangu Bi Shuu huku akinipa mbinu nyingi za
kumchanganya kimapenzi mwanaume. Kuna mambo mengine siwezi kuyasema gazetini
lakini Bi Shuu koma. Toka nizaliwe sikuwahi kukutana na mwanamke Shankupe kama
yeye.
Mtoto
wa kike nilifundishwa maneno ya kusema mtu akiwa juu ya mnazi wangu, pumzi za
kutoa wakati mwiko upo ndani ya chungu na akianza kugeuza maini nilitakiwa
nilegee vipi huku macho na pumzi nizifanye vipi. Najua mwenzangu mie mwenye
viuno kama vimefungwa mbao na wakati wa mapishi unatulia unasubiri mtu amwage
mzigo akimaliza anyanyuke. Lakini ukikutana na bibi huyu lazima bwana akutaje
jina.
Mwezi
mmoja mtoto wa kike nilipikwa nikapikika, baada ya mafunzo mazito Bi Shuu kwa
ushambenga wake alinitafutia mwanaume ili kutaka kunipima baada ya mazoezi.
Sikukataa kwa vile nilijua kile ndicho kipimo, mtoto wa kike nilijiandaa kuonesha
kilichoniweka ndani kwa mwezi mzima. Cha ajabu Bi Shuu alitaka mchezo ule
nichezee chumbani kwake, mmh, makubwa madogo yana nafuu.
Sikutaka
kumbishia kwa vile nilikuwa na usongo na mafunzo ya Bi Shuu ambayo yalinifanya
nijiamini na kumtamani mwanaume nimtoe kamasi nyembamba. Baada ya kijana
aliyechaguliwa na Bi Shuu kufika alikaribishwa chumbani kwa Bi Shuu,
nilijikuta nikiwa na usongo na yule
kijana ambaye alikuwa mmoja wa vijana walioninanga sijui kucheza nilipokutana
naye siku ya kwanza.
Baada
ya kuingia ndani nilimpokea juu juu na kumtoa nguo maungoni kama kuku
aliyechinjwa na kunyonyolewa manyoya. Baada ya kumuandaa mtoto wa kike huku
mwili ukinisisimka baada ya kukiona kijiti cha kupokezana kwenye mbio fupi.
Mtoto wa kike nikiwa nataka kufanya mtihani
wangu wa kwanza kwa umakini mkubwa huku nikipitia hatua moja baada ya nyingine.
Nilimlamba mwili mzima kama mama mbuzi akimsafisha mwanaye baada ya kumzaa,
nilijua kutumia ulimi wangu.
Nilipofika
kwenye shina la mnazi mtoto wa kike nilitulia kwa muda huku vidole laini na
ulimi ukifanya kazi yake. Mara nilimuona kijana wa watu akitetemeka kama
amekunywa coka ‘ngriiiiiiiiii’, maskini kumbe alikuwa akilia chozi lisilo na
msiba.
Kijana
wa watu naye akabadili upepo na kunirudishia mashambulizi.
Mtoto
wa kike nilipoguswa nililegea na kuzitoa pumzi huku jicho likipoteza kiini
cheusi. Kwa mara ya kwanza niligundua kumbe mwili kila sehemu una raha yake
kuishinda nyingine. Kama nilivyofundishwa na Bi Shuu kila nilipoguswa nilisema
neno lake.
Baada
ya mshike mshike wa maandalizi cha chakula, hatimaye kiliiva na kutengwa
mezani. Nilimpokea juujuu huku nilionesha jinsi gani mtoto wa kike
nilivyoshikika, mtoto wa kike sikuwa na haraka nilifuata mwiko ulivyogeuza
maini ili kumfanya mpigaji na mwimbaji wasitofautiane.
Mtoto
wa kike nilimaliza maneno yote mdomoni, sikuamini kutatalika kama bisi kwenye
chungu cha moto. Mpaka mchezo unakwisha nilikuwa nipo hoi kwani niliamini
vilikuwa vitamu kijana wa watu kila alipomaliza alileta sahani aongezewe. Nami
nilimpakulia naye alijilia huku akigugumia kama dume la njiwa lenye wivu. Huku
nikilia mara nne kwa utamu wa msiba.
Lazima
niseme ukweli kuna kipindi nilitaka kunyanyua mikono, maji yalikuwa shingoni,
nyonga iligoma kutokana na kutokuwa na uzoefu wa kuyakata mawimbi.
Bi
Shuu alinieleza kumfurahisha mwanaume si nyonga tu, hata kujua kuyapangilia
maneno hasa kumsifia hakuna mwanaume kama yeye pia anajua kumshikisha punda
adabu kwa kumtandika bakora balabala. Baada ya nyonga kugoma na kukiona kiuno
kikiwaka moto, nilitumia sauti kumsindikiza mwenzangu mpaka alipofika juu ya
mnazi.
Kijana
wa watu hakuamini ilibidi aniulize.
“Manka,
kumbe mambo unayaweza mbona ulikuwa uninikatili, mambo haya ungenipa tokea
zamani sasa hivi ungekuwa mke wangu.”
“Nilikulisha
vya chukuchuku lakini sasa vimeungwa ndio maana unaviona vitamu.”
Kijana
wa watu bila kutegemea alinipa elfu 50 kama asante ya kumpa penzi tamu ambalo
alikiri hakuwahi kulipata kwa mwanaume yoyote. Baada ya kuondoka na kuniacha
nimejilaza baada ya kuhisi uchovu kila kona ya mwili kutokana na mshike mshike
wa kufanya majaribio ya vitendo. Bila ya kujigeuza usingizi mzito ulinipitia
juu ya kitanda cha Bi Shuu.
Nilishtuka
baada ya masaa matatu nikiwa nausikia mwili mchovu kila kona, Bi Shuu
aliniamsha na kukuta ameniandalia maji ya kuoga. Nilioga kupunza uchovu na
kurudi ndani ambako chakula kilikuwa tayari. Tulikula pamoja kisha tulipumzika
sebuleni, cha ajabu niligundua Bi Shuu akiniangalia kwa kuniibia kitu
kilichonifanya nimuulize.
“Bi
Shuu vipi?”
“Kuhusu
nini?”
“Naona
kama unanivizia kunitazama kuna nini si uniambie.”
“Mmh,
kweli ulikuwa na usongo.”
“Wa
nini Bi Shuu?”
“Kazi
umeifanya vizuri japo kuna kipindi ulichemsha.”
“Ulijuaje?”
“Nilikuwepo
muda wote toka unaanza mpaka unamaliza, kwenye maandalizi nakupa mia kwenye
sauti na pumzi sabini kwenye mchezo wenyewe hamsini.”
“Jamani
Bi Shuu kujitahidi kote unanipa hamsini.”
“Manka
kwanza nashangaa mtu ulikuwa hujui lolote umeweza kupata hamsini wengi huwa
chini ya hapo.”
“Bi
Shuu kama nina hamsini nimeweza kupewa zawadi nikipata mia itakuwaje?”
“Mia
kupata ni kazi kwa vile maungo yako yalikakamaa muda mrefu lakini utaweza
kufika hata sabini kwa bidii yako.”
“Mapungufu
yangu ni nini?”
“Kutumia
nguvu nyingi ambazo hukufanya upumue kwa kasi sana kitu kinachokufanya uchoke
sana, pia papala ya kukata nyonga. Mwanzo uliweza kwenda sawa lakini ulipoanza
kuchoka alifanya bora liende. Lakini mwanzo ni mzuri.
Kwa
uwezo wako huo na kuonesha ulikuwa makini kwa kuyashika mafunzo, inaonesha
nikikuongezea matirio kama kwenye mpira ni ujanja wa kuweza kumsoma mwanaume.
Kila mwanaume ana amambile tofauti na mwenzake na wengine wana nguvu kama
kirafu unatakiwa kufanya nini.”
“Bi
Shuu nitashukuru nimeteseka sana, kwa nini sikuyapata mafunzo haya mapema ili
kuweza kumdhibiti Mateja,” Nilijikuta nikidondosha chozi kulikumbuka penzi la
Mateja nililolipoteza kutokana na kutokujua sheria za kitandani na kunifanya
niendeshe ovyo na kusababisha ajali za kutoelewa alama za kitandani.
“Manka
usiwe kama kipofu aliyefumbua macho na kumuona chura na kuamini hakuna kama
chura chini ya jua, mbona kuwa wanaume zaidi ya Mateja”
“Bi
Shuu ni kweli usemayo lakini Mateja niliamini ni mwanaume sahihi kwangu.”
“Ni
kweli, lakini kisicho riziki hakiliki we jipange ukikolea utamu nakuhakikishia
nitakutafutia bwana Mateja cha mtoto. Kwanza nataka niyafanyie kazi makosa
madogo madogo ambayo yatakufanya kila atakaye gusa atangaze ndoa. Nataka umlize
mwanaume kama mtoto mdogo, umeisha ona mtoto akinyang’anywa ziwa jinsi
anavyolia?”
“Ndiyo.”
“Basi
nataka mwanaume chozi limtoke, kuna vitu vidogo wanawake hawajui, vitu hivyo
ukimfanyia mwanaume kama ameoa lazima aitelekeze nyumba yake. Mchele mmoja
lakini unatofautiana katika mapishi, hii nyumba jasho la mwili wangu pale
nilipompata mume wa mtu. Leo hii naishi kwangu nawe nataka uwe mara mbili
yangu.”
“Bi
Shuu mbona wasichana hatuna vitu hivi?”
“Siku
hizi uzungu umetawala na kujikuta wakipoteza vitu vingi vya kumfurahisha
mwanaume. Kumfurahisha mwanaume kitandani si kigezo pekee cha kuilinda nyumba
yako. Kuna vitu vingi ambavyo vipo nje ya kitanda.
“Kuna
wasichana wengi wana nyonga laini kama unakula keki lakini wana mapungufu kama
chujui la nazi ambayo hayawezi kumfanya atulie kwa kwenye ndoa yake. Kama tabia
yako nzuri ulichanganya na machejo ya kitandani hata utakita hata ndege utanunuliwa
japo mwenzio hana uwezo wa kununua baskeri.”
“Mbona
hujanifunda na hivyo?”
“Siwezi
kukuichanganya kimoja kimoja, kwanza tunatengeneza mtego akiingia anase,
ukimaliza mafunzo ya mwili tunarudi tena kilingeni ili mumeo aone tofauti ya
magumegume na mwanamke.”
“Bi
Shuu mbona nimechoka sana.”
“Umelia
mara ngapi?”
TUKUTANE KESHOOOOOOOOOOO
Post a Comment