REHEMA FABIAN AMEONEKANA HAMNAZO
MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo
baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha
kuambulia mvua ya matusi.
Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili
wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe.
“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya namna hii katika
mtandao wa kijamii,” alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram.

Post a Comment