ad

ad

BAADA YA KADINDA, WEMA AMSHUSHIA MABUSU MTANGAZAJI

UTAMU kolea! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ametengeneza kichwa cha habari
 kwa mara
nyingine baada ya picha inayomuonesha akimshushia mabusu Mtangazaji wa
East Africa Television ‘EATV’, Tonny Albert ‘T-bway 260’ kunaswa.
Picha hiyo ambayo inasemekana imepigwa hivi karibuni ni ya kawaida lakini baadhi ya
mashabiki wa Wema walidai kuwa anataka kutibua mambo kwa Nasibu Abdul ‘Diamond
 Platnumz.
Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu
Hivi karibuni, picha ya Wema akimshushia mabusu meneja wake, Martin Kadinda nayo
ilizagaa mtandaoni, hivyo watu wengi kuamini kuwa msanii huyo anapenda kitendo hicho.

No comments

Powered by Blogger.