SOMA KILICHOMKUTA JINI KABULA BAADA YA KUZAA NJE YA NDOA
Funzo! Staa wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’
amefunguka kuwa amejifunza kutokana na makosa hivyo hawezi kuzaa tena
nje ya ndoa.
“Nilizaa na Mr Chuz (Tuesday Kihangala) nje ya ndoa lakini kwa sasa nimekoma maana siwezi kutenda dhambi kwa mara ya pili.”
Staa wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’
Akizungumza na mwanahabari wetu, Jini Kabula ambaye anabanjuka
kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Ruta Maximilian Bushoke, alitiririka:“Nilizaa na Mr Chuz (Tuesday Kihangala) nje ya ndoa lakini kwa sasa nimekoma maana siwezi kutenda dhambi kwa mara ya pili.”

Post a Comment