REAL MADRID WIN THE 2013-14 CHAMPIONS LEAGUE...MATUKIO YOTE YAPO HAPA
MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, ‘amekopi na kupesti’ staili ya mshambuliaji wa AC Milan Mario Balotelli baada ya kufunga bao la nne dhidi ya Atletico Madrid kwenye Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo.
Ronaldo baada ya kufunga bao hilo kwa penalti, alishangilia kwa kuvua jezi na kisha kutunisha misuli kama alivyofanya Balotelli alipofunga bao katika nusu fainali ya Euro 2012 kati ya timu yake ya Taifa Italia na Ujerumani.
Baada ya tukio hilo, Ronaldo alionyeshwa kadi ya njano japo hakuonekana kujali. Kwenye fainali hiyo, Real Madrid walishinda kwa bao 4-1 na kutwaa kombe.
SHANGWE ZA REAL ZALICHAFUA' JUJI LA NADRID, RONADO AAMATA KIPAZA KUMWAGA MISTARI
Gareth Bale na Luka Modric
Cristiano Ronaldo akimbo wimbo kwenye basi la wazi a timu
Champions: The Madrid players flew back and celebrate with fans in the Spanish capital in the early hours
Pure joy: The Real players and fans celebrate in Cibeles Square in Madrid after the win in Lisbon
Mobbed: Thousands of fans lined the streets in the early hours of Sunday morning to welcome their heroes home
Turning out in force: Real Madrid fans celebrate their team's Champions League win in Cibeles Square in Madrid
Master mind: Carlo Ancelotti celebrates with the trophy
Turning out in force: The fans flock to Cibeles Square to celebrate with the Madrid players
Fan-tastic: Real Madrid players on board the team bus celebrate win with fans
Golden couple: Ronaldo celebrates with his girlfriend Irina Shayk and his medal
Plane sailing: Angel di Maria and Marcelo celebrate with their wives on the plane back to Madrid
Post a Comment