BEYONCE, JAY Z WAIKACHA NDOA YA KANYE
Mastaa Jay Z na mkewe Beyonce ambao ni marafiki wa karibu wa Kanye
West hawakuhudhuria harusi ya kifahari ya staa huyo aliyemuoa Kim
Kardashian jana kwenye ukumbi wa Fort Belvedere nchini Italia. Mbali na
mastaa hao, pia kaka wa bibi harusi Kim, Rob naye aliingia mitini.
Post a Comment