ad

ad

BREAKING NEWS....MOTO WATEKETEZA MADUKA MANZESE DARAJANI DAR!

 Baadhi ya wagonjwa wa Hospitali ya Morden Centre iliyopo Manzese darajani wakiwa ndani ya gari la wagonjwa baada ya kutimua hospitali kuhofia maisha yao baada ya maduka jirani na hospitali hiyo kuwaka moto na moshi kujaa hospitalini, hivyo kuwapa hofu wakonjwa. Chanzo cha moto huo hakijajulikana na vikosi vya uokoaji vinaendelea na kazi ya uokoaji.
 PICHA NA 2JIACHIE, DAR

No comments

Powered by Blogger.