BREAKING NEWS:ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA
Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI
Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu. Marehemu
ameanguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa
Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
Post a Comment