Prodyuza aliyempatia tuzo sita za Kili staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
'Diamond Platnumz ' kwa kutengeneza wimbo wa Number One, Sheddy Clever
akiwa ndani ya Global TV Online. Kujua zaidi alichoongea, usikose
kuangalia Global TV Online Jumatatu ijayo!
Post a Comment