Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likibebwa na kupelekwa ndani ya nyumba. Aman Isaac Sepetu ambaye ni mtoto mkubwa wa marehemu akitoka ndani na msalaba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu.
Post a Comment