Nyisangah kuagwa kesho jijini Dar
Mwili wa marehmu Julius Nyaisanga Ancle J aliyefariki
dunia jana unatarajia kuagwa leo majira ya saa 11 nyumbani kwake Kihonda
Viwandani ambapo baada ya ibaka hii ya kumuombea marehmu kukamilika.
Mwili wa Ancle J utasafirishwa leo majira ya saa 12 jioni
kueleka jijini Dar es salaam ambako kesho wananachi wa jiji hilo
watapata fursa pia ya kumuaga Ancle J na kesho hiyo hiyo mwili huo
utasafirishwa kwa ndege kwenda Tarime kwa mazishi.
Baadhi ya vigogo kutoka ltv ni pamoja na Misanya Bigi mwenye koti jeusi,na Nesto

Post a Comment