WEMA SEPETU AULA, APATA DILI SAFIIII LA DARLING HAIR.
Sasa Mtamtaka, Mchongo huu kwa Miss Tanzania 2006 na mwigizaji wa Filamu Tanzania amepata shavu kwenye Kampuni ya Nywele (Darling Hair Tanzania) Kwa Mujibu wa Meneja wake Martin Kandida Mkataba huo utamfanya awe Juu zaidi na mwenye Thamani. Ingawa hakusema kiwango hicho ambacho uwa ni kawaida kutotajwa.

Post a Comment