ad

ad

VIDEO: WENJE AKATAA KUOMBA RADHI, BUNGE LAAHIRISHWA TENA

 
Ezekia wenje
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeahirishwa tena jioni hii baada ya Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) kukataa kuomba radhi bungeni kufuatia hotuba yake iliyoonekana kuwakwaza baadhi ya wabunge wa CUF. BOFYA LINK HII KUJIONEA MWENYEWE:
Powered by Blogger.