MAZUNGUMZO YA MAKUBALIANO YA LINAH NA BARNABA NA LADY JAY DEE YALIYOLETA UTATA.
Linah na Barnaba ni watoto wazuri sana
Hawana makuu ila katika hili kuna jambo limepita katikati
Ambalo liko nje ya
uwezo wao na kuwalazimu wao kukanusha kuwa hatukukubaliana malipo katika
show, mbali na kuwa walishachukua pia mpaka advance. Wote wawili
Wao wote wawili humuita Captain Dady:
Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Dady na mtoto:
CAPTAIN: Mwanangu ndo hii namba yako?
LINAH: Ndyo baba
LINAH: Sasa baba mimi nafanya ***miln
CAPTAIN: Ok hiyo
unastahili kabisa, Safari hii sina mdhamini bajeti yangu haifiki huko
kwahiyo sitamudu, lakini next time nitajitahidi tuwe pamoja mwanangu.
Nitakualika VIP siku hiyo kama una nafasi, Okey!
LINAH: Ouhk but we can talk ulikuw unahwmuch?
CAPTAIN: Linah mi
nna MLN*** ndugu yangu karibu tushirikiane, Am sure kuna siku
nitashiriki ktk jambo lako pia. Tatizo sina mdhamini hata mmoja na
napenda tuwe pamoja siku hiyo.
LINAH: Sawa dady
CAPTAIN: Thanks Kido
Siku walipotakiwa kuja ku shoot drops za TV na kuchukua advance
LINAH: Hi dady! Naweza pitia hapo nw?
Captain akampigia akamuambia aje, na wakafika wote wawili pamoja na Barnaba
Na baada ya siku hiyo, wosia ukatoka mitandaoni.
Kilichofuatia Linah alimfuata Barnaba usiku akamtupia bahasha akakimbia. "Kwa maelezo ya Barnaba".
Hivyo Barnaba akamuambia pesa
kila mtu alipokea kwa mkono wake twende tu tukamrudishie dada, Dada ni
muelewa atajua tu nini kimetokea. Linah akakataa akatimua zake.
Nashukuru kwa ustaarabu wa vijana hawa wawili wamekuwa waaminifu, Barnaba amezirudisha pesa zote, zake na za Linah na kuomba radhi kwa yote yaliotokea.
Gardner hajawahi
kumtumia mtu yoyote anaehusika na uongozi wa THT msg kuwa eti majina ya
Linah na Barnaba yaliwekwa by mistake kama ambavyo iliongelewa na moja
wa viongozi wa THT
Mimi bado nawapenda sitawahukumu
na ninaomba muwaelewe tu kuwa wamebanwa na hawana ujanja japo dhamira
yao ilikuwa ni kushiriki show ya miaka 13.
Ila kama hakukuwa
na makubaliano kama ambavyo Linah na Barnaba wameshinikizwa kuongea,
walikubalije kuja mpk kuchukuliwa kwenye video camera huku wakijua wazi
huo ni ushahidi tosha.....Angalia video hapo juu upate majibu.
Via ladyjaydee.blogspot.com

Post a Comment