ad

ad

ILIVYOKUWA HUKO COCO BEACH NA CHEKA NAO,FULL VISHINDO VYA MZIKI.


Picture
Wasanii wa Kikundi cha wakali dansi wakionyesha ukali wao wakati wa onyesho la Cheka Nao liliandaliwa na Vodacom Tanzania katika ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam,Ikiwa ni sehemu ya Kusherehekea sikukuu ya Mei Mosi, juzi .
Picture
Mwimbaji wa bendi ya muziki wa dansi ya Msondo Ngoma baba ya muziki Romario Mngíande akiwaongoza waimbaji wenzake wakati wa tamasha la ChekaNao liliandaliwa na Vodacom Tanzania ikiwa ni mahususi kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya wafanyakazi Mei mosi hapo juzi na kufanyika katika ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam.
Picture
Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ufukwe wa Coco Beach wakati wa Tamasha la Cheka Nao lilioandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Wafanyakazi mei mosi juzi jijini Dar es Salaam
Powered by Blogger.