Funke Akindele anakimbiza sana.
LAGOS, Nigeria
MUIGIZAJI Funke Akindele-Oloyede anakimbiza katika Nigeria Movie.
Funke, maarufu kama 'Jenifa ameigiza kama mchekeshaji kwenye filamu ya The Return of Jenifailiyoingiza zaidi ya Naira milioni 35, amekuwa akifanya vizuri zaidi kwenye sehemu za uigizaji wa vichekesho jambo lililochangia kumpa heshima ya kupata nafasi hiyo.

Post a Comment