ad

ad

Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA


Madiwani wa wa ccm halmashauri ya Meru wajiunga CHADEMA leo.
Wamepokelewa na kukabidhiwa kadi na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari wilayani Aruneru leo.
Madiwani hao na kata zao ni

1. Loth Nnko (kata ya Maji ya Chai)
2. Godfrey Kishongo Mbisse (Nkoaranga)
3. Abraham Kaaya (Maroroni)
4. Mwanaidi Kimu (Makiba)


CHANZO: JAMIIFORUMS
Powered by Blogger.