ad

ad

Top ten ya wanawake ‘hot’ zaidi walioanza mwaka 2013 kwa mujibu wa jarida la Men’s Health, Katy Perry afunika, Beyonce atajwa pia.

Katy Perry
Ikiwa ni siku tano tu zimeshaondoka tangu mwaka huu wa 2013 uanze, lakini jarida la Men’s health tayari limeshamtaja mrembo Katy Perry kama the hottest woman of the year.

Mrembo huyo aliyekuwa mke wa zamani wa Russel Brand ambae sasa hivi ni mpenzi wa John Mayer amewafunika warembo wengine ambao walikuwa wametajwa na vyanzo mbalimbali kama washindi kama vile Mila Kuni ambae alitajwa na Esquire kama mwanamke mwenye mvuto zaidi, Jennifer Lawrence aliyetajwa na jarida la AskMen kama Most Desirable woman, na Bar Refaeli aliyetajwa na jarida la Maxim kama mwanamke mkali zaidi (the hottest woman).

Katika list hiyo mama Blue Ivy, the Diva herself Beyonce Knowles ametajwa pia katika nafasi ya nane, huku wakali wengine ambao wanaandikwa sana kwenye mitandao kama Rihanna na Karrueche wamefichwa kwenye list hii.

Hii ndiyo list ya Top 10, the hottest women of 2013:

1. Katy Perry
2. Mila Kunis
3. Christina Hendricks
4. Jennifer Lawrence
5. Jennifer Aniston
6. Scarlett Johansson
7. Angelina Jolie
8. Beyonce Knowles
9. Gisele Bundchen
10. Amber Heard

No comments

Powered by Blogger.