Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitumia laptop yake kuwaonyesha viongozi
mbalimbali wa Mkoa wa Singida wakati alipokuwa akiwaelezea masuala
muhimu ya maendeleo nchini. Rais Kikwete amewasili Mjini Singida Januari
5 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. (PICHA NA IKULU)
Post a Comment