ad

ad

Niffer Afunguka Ukweli Mchungu: Awaambia Vijana Waache Kuishi kwa Ajili ya Watu

 


Mfanyabiashara maarufu na mwanamitandao anayefahamika kwa jina la Niffer ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kushare ujumbe mzito wa kuhamasisha watu kujiamini, kujithamini na kufanya maamuzi magumu bila kuogopa maneno ya watu.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Niffer aliandika maneno yaliyogusa hisia za wengi:

“Endelea kushindwa kuchukua maamuzi magumu kwenye maisha yako kisa watu watanionaje!! Kama ukijifunika shuka unalala nao shuka moja basi sawa ❤️
Ila kama unakua mwenyewe, baby, JUST OWN YOUR LIFE.
Nobody really cares about your well being than you.
CHOOSE YOU 📌”

Ujumbe huo ulisambaa kwa kasi na kuvuta maoni mengi kutoka kwa wafuasi wake, hasa vijana wanaokabiliwa na presha za jamii na hofu ya kuhukumiwa wanapojaribu kufanya maamuzi binafsi.

No comments

Powered by Blogger.