ad

ad

Lulu Diva Ajisifia Umbo Lake Instagram, Ajiita “Sexy Diva” na Kuibua Gumzo Mitandaoni

 

Staa wa muziki na filamu Bongo, Lulu Diva (@luludivatz), ameibua gumzo mitandaoni baada ya kuamua kujisitiri kwa kujiamini na kujisifia umbo lake kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Kupitia Insta Story zake, Lulu aliwaacha mashabiki wakitabasamu na wengine kushangaa, baada ya kuposti ujumbe wa utani uliojaa kujiamini na mahaba akisema:

“Hey Sexy Lady… 😋♥️
Unaniitaje… 🤷🏽‍♀️
A) LULU DIVA
B) DIVANA
C) Sexy Diva”

Kana kwamba haitoshi, aliendelea kuongeza maneno ya utani na mvuto zaidi kwa kuandika:
“Candy 🍭 shop Bebe 🥰♥️💛”

No comments

Powered by Blogger.