Baada ya klabu ya Simba SC leo kupitia Mwenyekiti wao Murtaza Mangungu kutangaza wataanza kutoa kadi za Wanachama Machi 27,2026, Mfadhili wa timu hiyo Mo Dewji ameiuliza Simba kupitia sehemu ya Comment katika Akaunti ya Instagram ya timu hiyo “Transformation mmefikia wapi?”
Post a Comment