ad

ad

Mama wa Chid Benz Afariki Dunia, Msiba Upo Chanika jijini Dar

 

Mama mzazi wa msanii wa Hip Hop, Rashid Makwilo almaarufu Chid Benz, Bi Hawa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Feb 11, 2026.

Global TV imezungumza na Chid Benz ambaye amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa msiba upo nyumbani kwao, Chanika jijini Dar es Salaam.

Taarifa zaidi zitakujia.

No comments

Powered by Blogger.