ad

ad

Ratiba ya Kombe la Azam Sports Federation Cup -16 Bora

DROO ya 16 Bora ya Ligi ya Azam imefanyika hivi punde ambapo mabingwa watetezi wa ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wakipangwa kukutana na Majimaji ya Songea huku Azam yeye akikutana na Klabu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC).

JKT Tanzania vs Ndanda FC Stand United vs Dodoma FC

Kiluvya United vs Prisons KMC v Azam FC

Majimaji FC vs Yanga Singida United vs Polisi Tanzania

Njombe Mji vs Mbao Fc Buselesele vs Mtibwa

Mechi hizo zitapigwa kati ya Februari 22 na 25 mwaka huu.

No comments

Powered by Blogger.