ad

ad

BREAKING: Diamond Platnumz alivyofika Mahakamani Kisutu leo


Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza shauri lao la matunzo ya mtoto.

No comments

Powered by Blogger.