Vodacom Yamkabidhi Zawadi Ya Mchezaji Bora
Mshambulizi wa Mbao FC ya Mwanza, Habib Kiyombo akikabidhiwa kitita cha Tsh Milioni 1 na mfanyakazi wa Vodacom.
Mshambulizi wa Mbao FC ya Mwanza, Habib Kiyombo amekabidhiwa kitita cha Tsh Milioni 1, Tuzo na King’amuzi kwa kuibuka Mchezaji Bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018. Habib amekabidhiwa zawadi hizo na Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude na Meneja Fedha wa Bodi ya Ligi, Ibrahim Mwayella.
Habib Kiyombo akikabidhiwa kitita cha Tsh Milioni 1, Tuzo na King’amuzi cha AzamTV kwa kuibuka Mchezaji Bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018. Habib amekabidhiwa zawadi hizo na Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude na Meneja Fedha wa Bodi ya Ligi, Ibrahim Mwayella.
Habib Kiyombo (katikati)akiwa katika picha ya pamoja.
wanaotoka nje ya Tanzania.
Mwezi Agosti mshindi alikuwa ni Emmanuel Okwi wa Simba,Septemba akawa ni Shafik Batambuze wa Singida United na mwezi Oktoba akashinda Obrey
Chirwa wa Young Africans.
Post a Comment