ad

ad

Uzinduzi wa Gazeti la Spoti Xtra Waitikisa Dar, Sasa Mtaani Jumapili Hii


KAMPUNI ya Global Publishers Ltd wachapishaji wa magazeti ya Amani, Ijumaa, Uwazi, Risasi na Championi imezindua Gazeti Jipya na Bora la Michezo na Burudani nchini Tanzania linalotambulika kwa jina Spoti Xtra ambalo litakuwa linaingia mtaani kila Jumapili.

 SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally, ameeleza kuwa lengo kubwa la kuanzisha Gazeti la Spoti Xtra ni kukidhi kiu ya wasomaji wa magazeti ya michezo kwani ikizingatiwa Jumapili kunakuwa hakuna Gazeti la Michezo hapa nchini, hivyo wao kama Kampuni wameona ni vyema kuwajali wasomaji wao kwa kuwapelekea Gazeti Bora kila Jumapili ili wasikose kile wanachokihitaji wasomaji tena kwa wakati muafaka.SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars

No comments

Powered by Blogger.