Pogba Kidogo Akinukishe Tena
Kiungo wa M a n United, Paul Pogba.KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba, usiku wa kuamkia jana ali ata bahati ya kutotolewa uwanjani kwa mara ya pili mfululizo baada ya kumchezea faulo Marlon Pack wa Bristol City.
Mara ya mwisho akiwa uwanjani, Pogba alitolewa uwanjani kwa kadi nyekundu katika mechi dhidi ya Arsenal, juzi, alirejea uwanjani kwa mara ya kwanza na kucheza faulo hiyo lakini mwamuzi Mike Dean akapeta.
Akizungumzia tukio hilo linalofanana na lile lililotokea dhidi ya Arsenal, katika mchezo wa Carabao Cup, Phil Neville ambaye ni mchambuzi alisema: “Alikuwa na bahati kutopata kadi nyekundu, ingekuwa mbaya kwake na kwa timu kama angeadhibiwa.”
Post a Comment