Kajala, Wema, Aunt, Wolper, Lulu na Shilole Waongoza Kubadili Nywele Bongo
MASTAA wengi Bongo,kitu kikubwa wanachopenda ni kuonekana bomba kwenye vichwa vyao ambapo mara nyingi utawaona wamebadilisha mitindo mbalimbali ya nywele.
Kumekuwa na aina nyingi za nywele lakini mastaa wana sehemu zao maalumu na wanajua wapi wanaweza kupata nywele zenye ubora ambazo kila wanapoweka kichwani wanasifiwa na kutoka bomba.
![]() |
| Wema Sepetu |
Kati ya mastaa ambao wanaongoza kwa kuweka nywele za gharama kwenye vichwa vyao huku wakiwa hawana desturi ya kuzirudia kichwani ni Kajala Masanja, Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Jacqueline Wolper, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Shamsa Ford, Shilole na Odama.
![]() |
| Jacqueline Wolper |
![]() |
| Elizabeth Michael ‘Lulu’ |
Ukimchukulia mfano mzuri, Wema Sepetu hata katika picha zake mbalimbali, huwezi kumkuta karudia nywele na mara nyingi anazoziweka kichwani ni kuanzia laki tano na zaidi huku akifuatiwa na Kajala.
Binafsi nilishawahi kumshuhudia Kajala akinunua nywele ya milioni moja na nusu maeneo ya Namanga jijini Dar, ndani ya miezi miwili hakuwa nazo.




Post a Comment