ad

ad

Diamond Akiwa na Mama Tiffah Pamoja na Dada Zake Walivyo Sherekea BOXING DAY

MAISHA YA KISTAA: Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum amesherekea siku ya Boxing Day kwa kupunga upepo baharini akiwa na mama mtoto wake, Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ pamoja na dada zake , Esma Platinum na Queen Darleen.
Vilevile meneja wa diamond Sallam na staa mkongwe AY walikuwepo kwenye boti ambayo Diamond aliltumia kumpeleka  fukwe za mbali.
Jionee Picha
diamond2342
diaomond82
Diamond na Zari
zari8934
Diamond na Zari
zari334
Diamond na Zari
diamond772 diamond232 zari8923
Powered by Blogger.