Wolper na Harmonize walivyokutana kwenye Birthday Party ya Diamond
Muimbaji wa Bongofleva Harmonize amekutana na mpenzi wake wa zamani Jackline Wolper wakiwa kwenye Birthday Party ya Diamond Platnumz, Wolper na Harmonize ambao waliachana ndio kwa mara ya kwanza wamekutana hadharani mbele za watu baada ya kuachana.
Post a Comment