Hamisa Mobetto Amtolea Maneno Ya Shombo Idris, Kisa Mtoto wake (Video)
KIMENUKA Mitandaoni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia sakata la mshindi wa Big Brother Africa ‘BBA’ mwaka 2014, Idris Sultan, ambaye kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, aliandika ujumbe kwa mzazi mwenziye mwanamitindo, Hamisa Mobeto, wa kumshauri kuhusiana na Rav 4 aliyomzawadia mwanamitindo huyo, pamoja na gharama za matumizi.
MOBETO AJIBU!
Baada ya ujumbe huo, nyongo ikamtibuka Mobeto, na kuamua kurudisha majibu kwa Idris.
IDRIS AOMBA MSAMAHA
Mara tu baada ya kuona kuwa Mobeto amekasirika, Idris akapost tena ujumbe kupitia ukurasa wake wa Instagram, na kumuomba msamaha mwanamitindo huyo, huku akijitetea kuwa hakumaanisha alichokisema, ulikuwa ni utani tu.

Post a Comment