Wolper Amwagana na Mpenzi Wake Kisa Simu
WAKATI ikifahamika kuwa hawajadumu hata kwa miezi mitatu, mkali wa sinema za Kibongo ambaye kwa sasa hivi ni mbunifu wa mavazi, Jacqueline Wolper Massawe, anadaiwa kumwagana na mwanaume ‘ben’teni’ wake, Barnaba Lukindo ‘Brown’, chanzo kikuu kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Wolper Msanii Anayeongoza Kuvaa Bongo...Picha zipo Hapa
Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu, kumekuwa na vuguvugu la mara kwa mara kwa wapenzi hao, kisa kikiwa ni hichohicho cha wivu wa kimapenzi.
Ilisemekana kuwa, mara nyingi mwanaume huyo hupenda kukagua simu ya staa huyo na anapokutana na vitu ambavyo ndivyo sivyo ndipo timbwili linaanza. “Unajua ni kwamba shida kubwa ilikuwa ni Brown, mara nyingi anakagua simu ya mwenzake au hata akizungumza na mtu ni shida, sasa hapo ndipo vurugu inapoanza na kila mmoja anaanza kumchunia mwenzake,” kilisema chanzo hicho.
Kikizidi kuweka mambo bayana, chanzo hicho kilisema kuwa, kutokana na wivu huo kuendelea kila kukicha, Wolper alionekana kuchoka na kukereka na tabia hiyo, jambo lililomfanya
Uwoya Atoa Sharti Kutazama Ilamu Zake Mapenzi
alionekana kuchoka na kukereka na tabia hiyo, jambo lililomfanya kupooza moyo wake kwa kukatisha mapenzi yao yaliyokuwa yameanza kuchanua kwenye mitandao ya kijamii.
“Huwezi kuamini, Wolper alikuwa hapendi kabisa tabia hiyo ya wivu wa kimapenzi wa kupitiliza kutoka kwa mpenzi wake huyo, kiasi ambacho aliamua kufi kia mwisho na kumwaga manyanga,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kuwepo kwa ubuyu huo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Wolper ili afunguke juu ya madai hayo ambapo alisema kuwa, siyo kwamba wameachana bali wao kama wapenzi kuna vitu ambavyo vinaweza kutokea lakini muda si mrefu watakuwa sawa.
Alipotafutwa Brown hakupatikana hewani. Wolper amekuwa siyo mtu wa kudumu na wanaume huku mara kwa mara akilia kuwa hana nyota ya kudumu na mwanaume kwenye mapenzi.
Wolper Msanii Anayeongoza Kuvaa Bongo...Picha zipo Hapa
Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu, kumekuwa na vuguvugu la mara kwa mara kwa wapenzi hao, kisa kikiwa ni hichohicho cha wivu wa kimapenzi.
Ilisemekana kuwa, mara nyingi mwanaume huyo hupenda kukagua simu ya staa huyo na anapokutana na vitu ambavyo ndivyo sivyo ndipo timbwili linaanza. “Unajua ni kwamba shida kubwa ilikuwa ni Brown, mara nyingi anakagua simu ya mwenzake au hata akizungumza na mtu ni shida, sasa hapo ndipo vurugu inapoanza na kila mmoja anaanza kumchunia mwenzake,” kilisema chanzo hicho.
Jacqueline Wolper Apingana na Kivuli Chake Kisa Mtoto!
Kikizidi kuweka mambo bayana, chanzo hicho kilisema kuwa, kutokana na wivu huo kuendelea kila kukicha, Wolper alionekana kuchoka na kukereka na tabia hiyo, jambo lililomfanya
Uwoya Atoa Sharti Kutazama Ilamu Zake Mapenzi
alionekana kuchoka na kukereka na tabia hiyo, jambo lililomfanya kupooza moyo wake kwa kukatisha mapenzi yao yaliyokuwa yameanza kuchanua kwenye mitandao ya kijamii.
“Huwezi kuamini, Wolper alikuwa hapendi kabisa tabia hiyo ya wivu wa kimapenzi wa kupitiliza kutoka kwa mpenzi wake huyo, kiasi ambacho aliamua kufi kia mwisho na kumwaga manyanga,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kuwepo kwa ubuyu huo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Wolper ili afunguke juu ya madai hayo ambapo alisema kuwa, siyo kwamba wameachana bali wao kama wapenzi kuna vitu ambavyo vinaweza kutokea lakini muda si mrefu watakuwa sawa.
Mastaa Hawa wa Bongo wana Ngozi Feki!
“Ni kweli hatuko vizuri, lakini katika mapenzi ndivyo mambo yanavyokuwa. Kuna wakati mnagombana, mnaweka mambo sawa, maisha yanaendelea kama kawaida, hivyo ninaamini hata kwangu yataisha tu siku si nyingi,” alisema Wolper.Alipotafutwa Brown hakupatikana hewani. Wolper amekuwa siyo mtu wa kudumu na wanaume huku mara kwa mara akilia kuwa hana nyota ya kudumu na mwanaume kwenye mapenzi.
Post a Comment