Rashida anaswa na kidume wakidendeka hadharani!
Miss Mara mwaka 2000, Rashida Wanjara.
Chanzo kimedai wakati Rashida akifanya mambo hayo, alionekana kuwa amepata kiburudisho cha kutosha in
gawa haikujulikana kama mwanaume huyo alikuwa ni mpenzi wake au la.
Alipotafutwa, Rashida alikiri kupigwa picha hiyo, lakini akisema mwanaume huyo siyo mpenzi wake, bali ni shemeji yake. “Jamani huyo ni shemeji yangu na huwa tunaitana shem-darling ni mwanaume wa rafiki yangu, nimekoma kwa kweli nitakuwa sipigi picha maana naogopa sasa, na pale nilikuwa nimelewa,” alisema


Post a Comment