Muigizaji Wa Kundi La Orijino Komedi, Joti Afunga Ndoa (Video)
MUIGIZAJI wa vichekesho nchini kutoka Kundi la Orijino Komedi, Joti ameuaga ukapela baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Tumaini, ndoa hiyo imefungwa Agosti 28, mwaka huu katika Kanisa Katoliki la Magomeni jijini Dar. Sherehe ya harusi itafanyika leo jioni katika Ukumbi wa Mlimani City ambapo wadau na mastaa mbalimbali watahudhuria.





Post a Comment