Birthday ya Aunty Ezekiel, Masaki Dar ni Kufuru...Shuhudia Live Hapa
STAA wa Filamu Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Cookie’ amefanya hafla ya kusherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa katika Ukumbi wa Rodizio Brazilian Grill uliopo maerneo ya Masaki jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mastaa kibao wa muziki na filamu.
Katika hafla hiyo iliyopambwa kwa nyimbo za LIVE huku wasanii waliofika Rodizio wakikongwa nyoyo zao na mpiga solo, keki ya nguvu huku shamra shamra na nderemo zikirindima ukumbini hapo mara kwa mara.
Baadhi ya wasanii waliohudhuria ni pamoja na Steve Nyerere, Ramy Garis, Wolper na wengine kibao.

Post a Comment