RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA 422 WA JWTZ JIJINJI ARUSHA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua gwaride katika sherehe ya kutunuku kamisheni kwa
maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo
Septemba 23, 2017. (PICHA NA IKULU)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua gwaride katika sherehe ya kutunuku kamisheni kwa
maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo
Septemba 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na jukwaa kuu katika sherehe ya kutunuku kamisheni kwa
maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo
Septemba 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017

Sehemu
ya umati wa maelfu ya wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania an Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania an Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri
Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na madiwani na waliowahi kuwa madiwani wa CHADEMA
walioamua kuhamia CCM wakati wa sherehe za kukamisheni maafisa wapya wa
kijeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba
23, 2017.
Post a Comment