Mobetto Kushushiwa Prado Mpya na Diamond, Achana Na Ile Rav 4 (Video)
Mwanamitindo ‘hot’ ambaye kwa sasa amegeuka mswaki kutokana na
kuongelewa kila kona, Hamisa Mobetto, amewaacha watu njia panda baada ya
kupost picha ya gari aina ya Prado yenye thamani ya zaidi ya milioni
50, mashabiki wanadai baada ya ile Rav 4, hiyo ni zawadi nyingine
anatarajia kupewa na mzazi mwenziye ambaye ni Mbongo Fleva aliyezaa pia
na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Post a Comment