Amber Lulu Ateka Mashabiki Dar Live
Msanii
na Video Queen, Amber Lulu, akifanya yake kwenye Tamasha la Full Dozi
litakalofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Kimataifa wa
Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.…Akiendelea kufanya yake.…Akikata mauno mbele ya mashabiki zake.…Akiongea na mashabiki zake akiwa katika mkao wa aina yake.
Post a Comment