SIMBA YAWAPIGA MTIBWA SUGAR TAIFA BAO 1-0
KIKOSI cha Simba leo
kimeendeleza ubabe kwa kuichapa Mtibwa Sugar kwa bao 1-0 katika mchezo wa
kirafiki ulipopigwa Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.
Goli lilifungwa na
winga wa Simba Emmanuel Okwi baada ya kupokea pasi ilinyooka kutoka kwa John
Boko katika shambulizi lililotokea langoni mwa Mtibwa.
Post a Comment