Agness Masogange apelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kupimwa utumiaji wa madawa ya kulevya Seebait.com 2017

Masogange ambaye ni mrembo maarufu anayetamba katika video za wasanii mbalimbali wa bongo fleva alikamatwa na polisi juzi.
Kamishna
Sirro amewaambia wanahabari leo kuwa Masogange amepelekwa kwa Mkemia
Mkuu wa Serikali na kwamba majibu yakipatikana kesho atafikishwa
mahakamani
"Tunamchunguza Masogange katika mambo matatu ili kujua kama anauza , anatumia au anasafirisha dawa za kulevya, " amesema Kamishna Sirro.
Post a Comment