Sifa 10 zilizotajwa na HESLB kwa wanafunzi wanaoomba mikopo
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetangaza mwongozo na
vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 na
imeanza kupokea maombi ya mikopo kuanzia tarehe 6 Agosti 2017 hadi
tarehe 4 Septemba, 2017.
Waombaji wote wa mikopo watarajiwa wanasisitizwa kusoma mwongozo wa
utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 pamoja na taratibu
nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo
zinazopatikana kwenye mtandao wa https://olas.heslb.go.tz
Kusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 bofya hapa
Kusoma hatua za kufuata kufanya maombi ya mkopo na malipo bofya hapa
Hapo chini ni sifa za msingi za mwombaji wa mkopo;
Post a Comment